
Platform Tz  NAOGOPA Mp3 Download
Another Mind Blowing Jam From Top trending Tanzanian Singer Platform Tz Release Naogopa kindly Download Mp3 Free Here
Langu tope utelezi utaweza kuvumilia madhaifu yangu
Na kwenye kope ni kweli utaweza kuvumilia Mbegu ya mnazi Usinipande jangwani hakuna maji wala mbolea Kuchipua kazi Kula yangu ya foleni mi piza baga sijazoeaNaomba kwa Mollah
Kila siku moyo wako usijejawa chuki Kovu la ufukala Umelifuta kabisa umeniepusha na dhiki EeehMwenzako naogopa
Mi naogopa Mwenzako naogopa Mi naogopaMmmmh iyeiyeee iyee iyee iyee iyee
Mmmmh iye iye iyeiye mmmh Ushajuwa madhaifu Basi usifanye fimbo yakunihukumu eeh Iwe chungu tangu kwa wenzangu Penzi lifike ukingo utaniumbua eeeh Na shilingi Ina pande mbili Bichwa na mwenge hilo kaa ukijua Na vyandani uvifanye siri Usije lopoka bure ukaniumbuaNaomba kwa Mollah
Kila siku moyo wako usijejawa chuki Kovu la ufukala Umelifuta kabisa umeniepusha na dhiki EeehMwenzako naogopawale unajuwa weee Mwenzako naogopa Iyeiyeee naogopa naogopa mazonge siwezi Mi naogopa Ukinicha watanicheka vibaya uwouwouwooh
Iyeiyeee naogopa naogopa mazonge siwezi Mi naogopa Eeeeh ukiniacha mwenzako watanicheka
Leave a Reply