Follow us on Telegram now!

Rayvanny – Tunawabuluza

Rayvanny – Tunawabuluza mp3

Rayvanny is here again with another dope tunes tittle Tunawabuluza the sound is unique now available on to download on here 

Kindly listen and download Rayvanny – Tunawabuluza (below

Dj Kidogo dogo
Tunawabuluza, TunawabuluzaTunawabuluza, Ona TunabuluzaTunawabuluza, TunawabuluzaTunawabuluza, ona tunawabuluza
Ona walivyo wapole wamebaki kunong’onaMagufuli ndio zaidi wenyewe wanaonaWanatafuta kasoro kila mbinu zinagomaMaendeleo uhakika namba wanaisoma
Standard gauge mabara bara shwariZahanati shule mahospitaliNdege mwendo kasi flyover kaliKajali masikini mafisadi chali
Magu! Wapiga madili Anapita nao!Wazee wa miradi feki Anapita nao!Wakwepa kodi Anapita nao!Wanaopenda rushwa Anapita nao!
Si tupotoka zamani anabisha nani?Si ndo chama lao rangi ni njano kijaniTena ni mashujaa, pole wapinzaniMagufuli kichwa jembe namba one (Ayoyoyo)
Tunawabuluza, TunawabuluzaTunawabuluza, Ona TunabuluzaTunawabuluza, TunawabuluzaTunawabuluza, ona tunawabuluza
Aya kelele ya kwanza kwa Magu yake (Wee)Aya kelele ya pili kwa John yake (Wee, wee)Aya kelele ya twatu kwa Pombe yake (Wee, wee wewe)
We mikono juu, watu shangiliaWe mikono juu, weka mashati kofiaCCM mikono juu, watu shangiliaBasi weka juu, weka mashati kofia
Peperusha bendera, wee benderaSijaona bendera, CCM benderaPeperusha bendera, wee benderaKina mama bendera, sijaona bendera
Peperusha bendera!
Aya Magufuli aya wee (Ayaa wee, ayaa wee)Mama Samia aya wee (Ayaa wee, ayaa wee)Majaliwa aya wee (Ayaa wee, ayaa wee)Mashiru aya wee (Ayaa wee, ayaa wee)
Na Mangula aya wee (Ayaa wee, ayaa wee)Pole pole aya wee (Ayaa wee, ayaa wee)Kiwangwala aya wee (Ayaa wee, ayaa wee)Na Makonda aya wee (Ayaa wee, ayaa wee)
Bado watoto wao, Magu ni baba laoCCM moto wao, tena kiboko yaoBado watoto wao, Magu ni baba laoCCM moto wao, tena kiboko yao
Mikono juu alafu piga makofiWeka juu huku unapiga makofiMikono juu alafu piga makofiWeka juu huku unapiga makofi
Tunaenda kushoto, wee kushotoTwendeni kushoto, watu wote kushotoTurudi kulia, wee kuliaTunarudi kulia, wee kulia
Twendeni kushoto, wee kushotoTunaenda kushoto, eeh kushotoTurudi kulia, wee kuliaKina mama kulia, wee kulia
Kina mama vigelegeleSijasikia vigelegeleAya wanangu piga milusiSijasikia milusi
CCM Kiboko yao, CCM kabari yaoCCM Kiboko yao, CCM kabari yaoCCM Kiboko yao, CCM kabari yaoCCM Kiboko yao, CCM kabari yao
Jembe Magufuli, kiboko yaoWee mama Samia, kabari yaoHadi Majaliwa, Kiboko yaoWee Mwajembe baba, kabari yaoMbeya tulia mama, kiboko yaoAta cha Ramila, kabari yao
 
More

Join the Discussion

No one has commented yet. Be the first!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *